Watu 161 wamefariki dunia na wanajeshi waasi 2389 wamekamatwa.
Matokeo haya ni asilimia 23 tu ya wapiga kura wa Uganda wanaokadiriwa kuwa milioni 15 .
Hatagombea ubunge katika uchaguzi mkuu ujao nchini humo.
Elimu duni kwa wananchi pamoja na siasa za vyama zatajwa kuingilia mchakato wa katiba.
Kesi ya wakenya wanne maarufu kusikilizwa Aprili 11 mwakani
Wagonjwa wako katika hali ya kukata tamaa na serikali haina jibu.
Lazima serikali iongeze idadi ya Polisi, vituo vya polisi na magari akiongeza hilo si ombi bali ni jukumu lao asema shekhe Door
Tawi la alqaeda Yemen lilidhamiria kumweka mlipua mabomu huyo kwenye ndege.
Obama asema kuna wengine wamebadili misimamo yao juu ya jambo hilo.
Salva Kiir akataa kuondoa majeshi Heglig.
Marais wa nchi hizo wanatarajiwa kufanya mazungumzo katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba.
Kundi la Boko Haram linashukiwa kwa mashambulizi huko Kano na Maiduguri.
Ufalme wa Buganda, huko Uganda umetangaza kupatikana mrithi wa kabaka baada ya kuzaliwa kijana wa mfalme mwaka jana.
Katibu mkuu ataka baraza la usalama kuchukua hatua.
Amnesty imetoa wito kwa serikali za Mashariki ya Kati kufanya mageuzi ya kweli kama wanavyo dai wananchi wa mataifa hayo
Idara ya Msalaba mwekundu inasema watu 25 wameokolewa
Majeshi ya Syria yaripotiwa kuuwa watu watano leo .
Baba mtakatifu amesema amesikitishwa sana na mashambulizi hayo.
Amnesty inasema walinda amani wa UN hawakuchukua hatua kuzuia majeshi ya Sudan kuwafukuza wakazi wa Abyei kutoka makazi yao.
Mgombea Vitali Khamere adai tume ya uchaguzi ilitoa ripoti ya uwongo.
Pandisha zaidi