No live streaming currently available
Maafisa nchini Nigeria wamesema kwamba mpango wa kuwarejesha katika Maisha ya kawaida, wapiganaji wa zamani wa kundi la Boko Haram, unasaidia katika kupunguza nguvu ya kikundi hicho.
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ameongoza maandamano kwa wiki ya pili kupinga kupanda kwa gharama za maisha na kutaka haki katika mfumo wa uchaguzi.
Rais Volodymyr Zelensky amasema yuko tayari kwa mzungumzo ya amani bila ya masharti yeyote na Rashia kwenye mpaka wake na Belarus katika eneo maalum karibu na Chernobil,
Kati yao ni waandishi wa habari kadhaa wenye weledi ambao walitafuta hifadhi nchini Thailand.
Ujumbe wa Baraza la Usalama unatembelea Goma na kambi ya wakimbizi wa ndani ya Bushangara, ili kutathmini kazi za kikosi cha kulinga amani cha MONUSCO.