Pia utaweza kupata ushahidi mwingine kutoka kwa Shirika la Wanawake lisilokuwa la kiserikali linalotetea maslahi ya uchumi wa Zambia na usawa wa kijinsia wakieleza changamoto zinazowakabili wanawake nchini humo. Juliet Chibuta, mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya National Women Lobby anatoa kwa muhtasari yale ambayo yamekuwa ni faraja kwao kutokana na ufisadi kudhibitiwa nchini Zambia.
Je, ni alama zipi zinaifanya Zambia kuwa imeimarika katika kukabiliana na hujuma za ufisadi?
Matukio
-
Oktoba 07, 2024
Mwigizaji John Amos akumbukwa kwa kazi zake
-
Oktoba 03, 2024
Mambo ya kukumbukwa aliyoyaacha nyota wa NBA Marehemu Mutombo
-
Oktoba 02, 2024
Hali ya ulaji chakula kupita kiasi inavyoongezeka barani Afrika
-
Septemba 27, 2024
Kanda za kaseti zarejea nchini Marekani
-
Septemba 22, 2024
Milipuko ya magonjwa hasa Kipindupindu inavyoathiri jamii nchini Sudan.
Forum