Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Machi 27, 2025 Local time: 23:11

Baadhi ya Masuala muhimu yaliyojitokeza wakati Trump na Netanyahu walipokutana

Rais wa Marekani Donald Trump Jumanne alikutana na Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu huko White House kujadili masuala kadhaa, ikiwemo sitisho la mapigano Gaza ambapo Israel ilikuwa katika vita na wanamgambo wa Hamas. Hizi ni baadhi ya nukuu muhimu.⁣


Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG