Golikipa Boubacar Barry aokowa timu yake kwa kuzuia kwanza mkwaju wa kipa mwenzake wa Ghana na baadea kutumbukiza wavuni mkwaju wake na hivyo kuipatia timu yake Kombe la Mataifa ya Africa.
Timu za DRC na Equatorial Guinea hazikufanikiwa kunaykua ushindi mnamo dakika 90 za mchezo wa kugombania nafasi ya tatu na ilihitaji mikwaju ya penalty kwa Leopard kuondoka na medali hiyo.
Licha ya fujo zilizotaka kuharibu mechi Ghana ilitoka na ushindi wa kishindo dhidi ya wenyeji Equatorial Guinea kuingia fainali
Na Kocha Georges Leekens kusema huu ulikuwa mchezo ulosimamiwa vibaya kabisa katika miaka 30 ya maisha yake ya kandanda, na ni jambo lisilokubalika na la kusikitisha kwa kandanda.
Red Devils wapoteza ushindi wao wa mabao mawili kwa bila na kurudishwa nyumbani na Leopard wa DRC
CAN- DRC fans dancing in Bata as they win against Congo
Kamati ya utendaji ya CAF itaamuwa kwa bahati nasibu ni timu gani kati ya Mali na Guinea itakayoingia katika robo finali ya Kombe la Mataifa ya Afrika
Mshindi wa pili kundi D kati ya Mali na Guinea ataamuliwa kwa bahati nasibu itakayochezwa Alhamisi na ndio atakayekutana na Ghana katika robo fainali
Pandisha zaidi