Timu ya Argentina imefanikiwa kutwaa taji la dunia baada ya kuishinda Ufaransa kwa penati 4-2 katika uwanja wa Lusille Doha Qatar Jumapili.
Croatia imefanikiwa kuchukua nafasi ya tau katika kombe la dunia baada ya kuishinda Morocco bao 2-1 katika uwanja wa kimataifa wa Khalifa Doha Qatar siku ya Jumamosi.
Timu ya taifa ya Ufaransa Le Bleu imefanikiwa kuingia katka fainali yta kombe la dunia kwa mara nyingine tena baada ya kuifunga timu ya Morocco bao 2-0 katika uwanja wa Al Bayt Doha Qatar.
Timu ya Argentina imefanikiwa kuingia fainali ya kombe la dunia baada ya kuwaangusha timu ya Croatia kwa mabao 3-0 katika uwanja wa Lusail mjini Doha Qatar.
Timu ya taifa ya Ufaransa -Le Bleu imekuwa ya pili kukata tiketi yake ya kucheza nusu fainali ya kombe la dunia baada ya kuifunga Uingereza bao 2-1 katika uwanja wa Al Thumama.
Argentina imefanikiwa kuingia nusu fainali ya kombe la dunia baada ya kuifunga Uholanzi kwa penati 3-2 katika uwanja wa Lusille Doha Qatar.
Timu ya Morocco imefanikiwa kuweka historia kwa kuingia robo fainali kwa mara ya kwanza katika kombe la dunia baada ya kuwashangaza miamba ya soka duniani Spain kwa kuwafunga kwa njia ya penati bao 3-0 katika uwanja wa Education City Al- Rayyan Qatar.
Timu ya Brazil imeingia kwa kishindo katika robo fainali ya kombe la dunia baada ya kuifunga Korea Kusini mabao 4-1 katika uwanja wa 974 mjini Doha.
Timu ya Senegal -Simba wa Tearnga imetupe nje ya kombe la dunia baada ya kuchapwa mabao 3-0 na Uingereza katika uwanja wa AlBayt Doha Qatar,
Timu ya taifa ya Ufaransa Le Bleu imekata tiketi ya kuingia robo fainali ya michuano ya kombe la dunia baada ya kuifunga Poland bao 3-1 katika uwanja wa Al Thumama.
Timu ya Uholanzi imefanikiwa kuingia robo fainali ya kombe la dunia baada ya kuichabanga Marekani mabao 3-1.
Timu ya Ghana imeaga michuano ya kombe la dunia baada ya kufungwa na Uruguay bao 2-0.
Timu ya taifa ya Morocco Simba wa Atlas wamekuwa timu ya pili kwa Afrika kuingia katika hatua ya raundi ya 16 baada ya kuifunga Canada mabao 2-1.
Timu ya taifa ya Argentina hatimaye imefanikiwa kuingia raundi ya 16 ya kombe la dunia 2022 baada ya kuifunga Poland kwa bao 2-0 siku ya Jumatano.
Timu za Ujerumani na Spain zimetoka sare ya bao 1-1 katika uwanja wa Al Bayt siku ya Jumapili.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesisitiza nia ya serikali yake kutoa hadhi maalum kwa watanzania wanaoishi ughaibuni badala ya uraia pacha.
Timu ya US Monastir mabingwa wa Tunisia walitoka kifua mbele katika mechi yao dhidi ya Ferroviário da Beira ya Msumbiji kwa jumla ya pointi 77-71 katika uwanja wa Dakar Arena Senegal jumapili.
Ilikuwa ni mechi yenye ushindani mkali ambapo hatimaye Mabingwa wa Rwanda (REG) waliibuka kidedea kwa kuwashinda AS Sale ya Morocco 91 kwa 87 katika mchezo wa pili wa msimu wa pili wa Ligi ya Mpira wa Kikapu barani Afrika BAL.
Timu ya mpira wa kikapu ya Seydou Athletic Club ya Guinea imeanza vyema michuano ya klabu bingwa barani Afrika BAL baada ya kuwabwaga timu mwenyeji Dakar University Club DUC kwa jumla ya pointi 85-70 katika mechi ya ufunguzi katika uwanja wa Dakar Arena Machi 5, 2022.
Makamu mwenyekiti wa chama cha Chadema nchini Tanzania Tundu Lissu anayeishi uhamishoni Ubelgiji ameeleza azma yake ya kurudi nchini Tanzania wakati wowote.
Pandisha zaidi