Rais Kenyatta alitoa hotuba yake ya kwanza mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa akieleza kuwa nchi yake inabeba mzigo mkubwa wa kupambana na magaidi wa al-Shabab.
Rais Kikwete alituzwa kutokana na jitihada zake kuendeleza jamii ya watanzania na akatambuliwa pia kwa kutatua migogoro barani Afrika.
Balozi wa Kenya katika Umoja wa Mataifa Macharia Kamau anasema Kenya na Umoja wa Afrika zinasubiri kwa hamu uamuzi wa Baraza la Usalama kufuatia maombi ya kuahirishwa kwa mwaka mmoja kesi dhidi ya rais Uhuru Kenyatta na naibu rais William Ruto.
68 wauawa Nairobi,175 walazwa hospitali 1,000 waokolewa. Jeshi la Kenya limezingira Westgate Mall ambapo magaidi bado wanashikilia watu mateka.
Kundi la Al-Shabab la Somalia limedai kuhusika na shambulio lililofanyika katika soko la kifahari la Westgate mjini Nairobi ambapo takriban watu 30 wamefariki na 50 kujeruhiwa
"Nina ndoto kuwa wanangu 4 siku moja wataishi katika taifa ambalo maamuzi juu yao hayatafanywa kwa misingi ya rangi yao bali kwa matendo yao”
Safari za ndege nani ya nchi zimeanza kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Nairobi huku wapelelezi wakiendelea na uchunguzi wao.
Jamii ya kimataifa inafuatilia uchaguzi mkuu wa Kenya ambao utakuwa wa kihistoria Machi 4,2013
Katiba mpya ya Kenya imeipatia mahakama uhuru kamili na kutengenishwa na utawala wa serikali na bunge.
Mshindi wa kiti cha rais ataapishwa rasmi Machi 26. Lakini kukiwa na uchaguzi wa marudio, ataapishwa Aprili 30.
Anasema rushwa imekithiri katika serikali ya Rais Joseph kabila na viongozi wake hawaiheshimu katiba ya nchi juu ya muda wa kukaa madarakani.
Rais Jacob Zuma afupisha ziara yake Msumbiji na kurejea nyumbani kufuatia polisi kuwauwa kwa wachimba migodi 34 na kujeruhi wengine 78 Alhamisi.
Miguna asema hakuna anayejua ikiwa amezungumza na mahakama ya jinai -ICC na anawataka wakosoaji wake wasome kitabu chake kwanza
Miaka ya kwanza ya Ukimwi barani Afrika, haukuwa na jina rasmi. Katika maeneo mengi, uliitwa ugonjwa wa kukonda kwa maana watu walikon
Mjumbe maalum wa Umoia wa Mataifa kwa Somalia alionya zamani juu ya janga la njaa Somalia
Masaibu ya Wasomali kutokana na njaa, ukame na kundi la kigaidi la al-Shabaab
Waatalamu wanasema njaa katika pembe ya Afrika mwaka huu imesababishwa zaidi na vita, ukame, pamoja na ukosefu wa sera thabiti za kilimo
Maelfu ya watu watafuta 'tiba' ya Ukimwi, saratani, kisukari na pumu kwa Mchungaji anayedai Mungu amempa ndoto ya dawa inayoponya.
Mgogoro wa Misri wakaribia kumaliza wiki ya pili huku mvutano ukiendelea baina ya waandamanaji na Rais Hosni Mubarak
Mabishano makali yamejitokeza kutokana na mapendekezo ya katiba mpya inayopigiwa kura Augusti 4 nchini Kenya.
Pandisha zaidi