Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Julai 28, 2026 Local time: 08:51

Zaidi ya watu 30 wauawa Nairobi

Soko kuu la Westgate mjini Nairobi lashambuliwa

Wanajeshi na polisi wenye silaha anawasaka washambuliaji wenye bunduki waloshambulia soko kuu la Westgate shopping centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013.
1/15 Wanajeshi na polisi wenye silaha anawasaka washambuliaji wenye bunduki waloshambulia soko kuu la Westgate shopping centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013.
Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Mwanamke aliyejeruhiwa akilia kuomba msaada pale washambuliaji walipovamia soko la Westgate shopping mall in Nairobi, Septemba 21, 2013.
2/15 Mwanamke aliyejeruhiwa akilia kuomba msaada pale washambuliaji walipovamia soko la Westgate shopping mall in Nairobi, Septemba 21, 2013.
Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Polisi mweye bunduki awatafuta wateja walojificha ndani ya choo huku akiwasaka washambulizi kwenye soko la Westgate shopping centre Nairobi, September 21, 2013.
3/15 Polisi mweye bunduki awatafuta wateja walojificha ndani ya choo huku akiwasaka washambulizi kwenye soko la Westgate shopping centre Nairobi, September 21, 2013.
Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Wahudumu wa kwanza wamsaidia mtu aliyejeruhiwa baada ya shambulio la bunduki katika soko laWestgate shopping centre, mjini Nairobi Septembea 21, 2013. 
4/15 Wahudumu wa kwanza wamsaidia mtu aliyejeruhiwa baada ya shambulio la bunduki katika soko laWestgate shopping centre, mjini Nairobi Septembea 21, 2013. 
Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Polisi wenye silaha wanawasaka washambuliaji wenye silaha ndani ya soko la Westgate mjini Nairobi, Septemba 21, 2013. 
5/15 Polisi wenye silaha wanawasaka washambuliaji wenye silaha ndani ya soko la Westgate mjini Nairobi, Septemba 21, 2013. 
Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Watu wakimbia kujificha wakati polisi wanawasaka washambuliaji walovamia kwa bunduki soko la Westgate jijini Nairobi, Septemba 21, 2013. 
6/15 Watu wakimbia kujificha wakati polisi wanawasaka washambuliaji walovamia kwa bunduki soko la Westgate jijini Nairobi, Septemba 21, 2013. 
Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Polisi wajificha ili kujikinga kutokana na shambulio la bunduki katika soko la Westgate ambako washambuliaji wenye bunduki walishambulia na kuchukua baadhi ya wateja mateka mjini Nairobi Septemb 21, 2013.
7/15 Polisi wajificha ili kujikinga kutokana na shambulio la bunduki katika soko la Westgate ambako washambuliaji wenye bunduki walishambulia na kuchukua baadhi ya wateja mateka mjini Nairobi Septemb 21, 2013.
Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Polisi aliyejeruhiwa akijishika mahala alipopigwa risasi huku mwenzake akimlinda na kuwasaka washambuliaji katika soko la Westgate mjini Nairobi, Septemba 21, 2013.
8/15 Polisi aliyejeruhiwa akijishika mahala alipopigwa risasi huku mwenzake akimlinda na kuwasaka washambuliaji katika soko la Westgate mjini Nairobi, Septemba 21, 2013.
Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Polisi wenye bunduki wanawatafuta washambuliaji wnye silaha ndani ya soko la Westgate wliloshambulia jumamosi mjini Nairobi, Septemba 21, 2013.
9/15 Polisi wenye bunduki wanawatafuta washambuliaji wnye silaha ndani ya soko la Westgate wliloshambulia jumamosi mjini Nairobi, Septemba 21, 2013.
Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Mwili wa mtu aliyeuliwa nje ya soko kuu la Westgate Mall, lenye maduka ya kifahari mjini Nairobi, Kenya unaonekana siku ya jumamosi Sept. 21 2013, ambako kulitokea shambulio la bunduki na mripuko wa grunetti, kufuatana na polisi.
10/15 Mwili wa mtu aliyeuliwa nje ya soko kuu la Westgate Mall, lenye maduka ya kifahari mjini Nairobi, Kenya unaonekana siku ya jumamosi Sept. 21 2013, ambako kulitokea shambulio la bunduki na mripuko wa grunetti, kufuatana na polisi.
Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Голова бойовиків ДНР Захарченко біля "ЦВК"
11/15 Голова бойовиків ДНР Захарченко біля "ЦВК"
Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Burkina Faso's military chief General Honore Traore
12/15 Burkina Faso's military chief General Honore Traore
Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Polisi anajaribu kuhakikisha hakuna mshambuliaji katika eneo alofika baada ya shambulio ndani ya soko la Westgate Nairobi Sept. 20, 2013.
13/15 Polisi anajaribu kuhakikisha hakuna mshambuliaji katika eneo alofika baada ya shambulio ndani ya soko la Westgate Nairobi Sept. 20, 2013.
Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Maafisa wa usalama waloingia ndani ya soko la Westgate waoneshana mahala huwenda kuna washambulizi, ndani ya soko hilo walovamia siku ya jumamosi mjini Nairobi Sept. 21, 2013.
14/15 Maafisa wa usalama waloingia ndani ya soko la Westgate waoneshana mahala huwenda kuna washambulizi, ndani ya soko hilo walovamia siku ya jumamosi mjini Nairobi Sept. 21, 2013.
Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Watu wakimbia wakiinua mikono juu kutoka soko la Westgate Mall mjin  Nairobi Sept. 21, 2013. 
15/15 Watu wakimbia wakiinua mikono juu kutoka soko la Westgate Mall mjin  Nairobi Sept. 21, 2013. 
Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Previous slide
Next slide

Hali ni tete katika jiji la Nairobi ambapo washambuliaji wenye silaha Jujmamosi mchana walivamia eneo la kifahari la Westgate Mall nje kidogo ya jiji la Nairobi.

Vyombo vya habari vya Kenya vinaripoti kuwa washambuliaji hao waliokuwa waloficha nyuso zao walivamia maduka hayo mwendo wa saa sita mchana kwa saa za Kenya na kuwateka nyara watu kadha.

Wafanyakazi wengi wamenaswa katika mtafaruku huo huku ikiripotiwa kuwa zaidi ya watu 30 wameuawa.Polisi wa Kenya wamewaambia wananchi wasiende eneo hilo ambapo kikosi maalum cha kijeshi KDF kimepelekewa kuwasaka na kukabiliana na washambuliaji hao.

Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika imefanya matangazo ya moja kwa moja saa moja na nusu jioni kwa saa za Afrika Mashariki ambapo mwandishi wetu Mwai Gikonyo, mtangazaji wa televisheni ya K24 TV Franklin Wambugu na mchambuzi wa maswala ya kisiasa na mwandishi wa siku nyingi Kasuja Onyonyi walishiriki na kuelezea matukio hayo ya kusikitisha yaliyokumba jiji la Nairobi.

Polisi huko Nairobi wanasema Westgate Mall sasa imedhibitiwa na kikosi maalum cha kijeshi na kwamba kinafanya upekuzi mkali. Kuna ripoti kuwa mshambualiaji mmoja amekamatwa na msako unaendeela kubaini hasa ni nani waliotekeleza mashambulizi hayo na kwa lengo gani.

Hadi tukienda hewani rais wa Kenya Uhuru Kenyatta alitegemewa kuhutubia Wakenya huku waziri wake wa maswala ya ulinzi wa ndani Joseph Ole Lenku akiwa tayari amezungumza na waandishi habari.

Kwa mujibu wa waandishi habari tuliozungumza nao, viongozi wa Kenya wameonyesha mshikamano wa kitaifa wakati nchi hiyo ya Afrika Mashariki ikiomboleza maafa yaliyotokea Jumamosi.
XS
SM
MD
LG