Akiwa mtumishi wa serikali alitumikia nafasi ya mkurugenzi wa shirika la ujasusi la Marekani (CIA), balozi wa Marekani Umoja wa Mataifa, Balozi nchini China, na nafasi ya makamu wa rais wa Marekani wakati wa Rais Ronald Reagan akiwa madarakani.
Zinazohusiana
Matukio
-
Januari 21, 2021
Sherehe za kuapishwa Joseph Biden Rais wa 46 wa Marekani
-
Januari 16, 2021
Timu ya watafiti kutoka WHO ikiwasili Wuhan
-
Desemba 23, 2020
Malori ya Uingereza yazuiwa kuingia Ufaransa
-
Desemba 18, 2020
Kilichopatikana miaka 10 baada ya mapinduzi ya nchi za Kiarabu
Facebook Forum