Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Oktoba 28, 2020 Local time: 15:27

Rais mstaafu wa Marekani George H.W. Bush aaga dunia


Rais George H.W. Bush

Rais mstaafu wa Marekani George H. W . Bush ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 94.

Taarifa ya familia yake iliyotangazwa na mwanawe Rais wa zamani George .W . Bush imeeleza Ijumaa.

Rais huyo aliaga dunia majira ya usiku, imeeleza taarifa hiyo.

Kuanzia mwaka 1989 hadi 1993 aliongoza kwa mihula miwili akiwa makamu wa rais wakati wa utawala wa Rais Ronald Reagan.

Rais Bush amefariki miezi saba tu baada ya kifo cha mkewe Barbara.

Salamu za rambirambi zimeendelea kumiminika kutoka kwa viongozi mbalimbali kumuenzi kiongozi huyo.

Rais wa Marekani Donald Trump amemsifu kwa "ukweli wake, ucheshi na kujitolea kwake.

Facebook Forum

Kura ya Maoni : Uchaguzi Tanzania

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

XS
SM
MD
LG