Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 28, 2025 Local time: 00:08

Mkutano wa uchumi wa dunia wafunguliwa Davos, ajenda kuu Ukraine na hali ya hewa


Mkutano wa uchumi wa dunia wafunguliwa Davos, ajenda kuu Ukraine na hali ya hewa
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Mkutano wa uchumi wa dunia unaofanyika Davos umeanza huku vita vya Ukraine na mabadiliko ya hali ya hewa vikiwa juu katika ajenda.

-Huenda Wakenya wakalazimika kuendelea kuvumilia changamoto kali za kiuchumi kwa muda mrefu kabla ya mabadiliko makubwa kuonekana, wataalam wa uchumi waeleza.

-Wanigeria waharakisha kuchukua kadi zao za kupiga kura...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.

XS
SM
MD
LG