Msemaji wa wizara ya usalama Mohamed Yusuf ameiambia Idhaa ya Kisomali ya sauti ya Amerik, kwamba watu 18 waliuwawa na wengine wasiopungua 15 walijeruhiwa katika shambulizi kwenye wizara ya elimu ya juu ya nchi hiyo.
Watu 18 wauwawa Mogadishu kutokana na shambuliop la Al Shabab
Msemaji wa wizara ya usalama Mohamed Yusuf ameiambia Idhaa ya Kisomali ya sauti ya Amerik, kwamba watu 18 waliuwawa na wengine wasiopungua 15 walijeruhiwa katika shambulizi kwenye wizara ya elimu ya juu ya nchi hiyo.

1
Watu wakimsaidia mwanamke kufuatia mlipuko wa bomu lililotegwa ndani ya gari nje ya jengo la wizara ya elimu Mogadishu.

2
Polisi wa Somalia wakiangalia miili ya watuhumiwa wa shambulizi la mjini Mogadishu Jumane April 14 2015

3
Mtu akimbia kutafuta hifadhi wakati risasi zilipokuwa zinafyetuliwa katikajengo la wizara ya elimu ya Somali

4
Somalia al-Shabab