Upatikanaji viungo

Rais Mohamud wa Somalia atembelea Barawe


Rais wa Somalia ameutembelea mji wa bandari wa Barawe, ngome ya mwisho ya kundi la Al-Shabab ulokombolewa na wanajeshi wa Somalia na Walinda Amani wa Umoja wa Mataifa Somalia AMISOM.

Makundi

XS
SM
MD
LG