Upatikanaji viungo

Matukio ya Dunia

Ebola yazusha wasi wasi Marekani

  • Abdushakur Aboud

Rais Barack Obama amewahakikishia tena Wamarekani kwamba uwezekano wa kutokea mlipuko wa Ebola hapa nchini ni mdogo sana. Hii inafuatia kutangazwa kwamba muuguzi wa pili ameambukizwa virusi hivyo vya hatari aliyekua anamtibu mgonjwa wa Ebola, kutoka Liberia Bw. Duncan.

XS
SM
MD
LG