Rais Museveni anasema wameridhika na mazungumzo ya Washington na ni "mwanzo mwema". Mataifa ya Afrika yalifikia makubakliano kadhaa na serikali ya Marekani pamoja na makampuni ya biashara juu ya kuwekeza baani Afrika.
Zinazohusiana
Matukio
-
Februari 06, 2023
Marekani: Rais Biden atatoa Hotuba ya Hali ya Kitaifa 2023
-
Januari 07, 2023
DRC: Waasi wa M23 wamekubali kuondoka Rumangabo
Facebook Forum