Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Julai 22, 2024 Local time: 17:59

Uchaguzi Mkuu Nigeria 2019 : Hali ilivyokuwa wakati baadhi ya vituo vya kupiga kura vikifunguliwa Jumamosi

Kwa mujibu wa mwandishi wa VOA upigaji kura ulikuwa umechelewa kwa saa moja katika eneo la Ikeja GRA, Lagos, Nigeria.

Masaa kadhaa kabla ya kura kuanza kupigwa, milipuko ilisikika katika upande wa kaskazini mashariki wa mji wa Maiduguri nchini NIgeria.

Vyanzo vya habari vimeripoti kuwa chanzo cha milipuko hiyo hakikuweza kufahamika mara moja, lakini Boko Haram wametoa taarifa walikuwa wanahusika na shambulizi hilo huko Maiduguri.


Pandisha zaidi

16x9 Image

Jaffar Mjasiri

Ni Mwandishi na Msimamizi wa Mitandao ya Kijamii, VOASwahili

 

Makundi

XS
SM
MD
LG