Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 29, 2023 Local time: 12:00

Sudan yathibitisha kuwepo ambukizo la kwanza la Monkeypox


FILE - Watu wakisubiri katika kituo kinachotoa chanjo dhidi ya monkeypox, July 28, 2022, in Encino, California.

Wizara ya afya imesema kwamba mwanafunzi mwenye umri wa miaka 16 amethibitishwa kuambukizwa virusi hivyo, katika jimbo la Darfur mmagharibi.

Maafisa wa afya kote duniani wanandelea kutafuta namna ya kukabiliana na maambukizi ya Monkeypox ambayo yanaendelea kuongezeka kote duniani.

Shirika la Afya Duniani limetangaza mlipuko wa Monkeypox kuwa janga la afya la kimataifa.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG