Rusesabagina, mfanyakazi wa hoteli aliyepongezwa kwa kuokoa maisha ya mamia ya watu wakati wa mauaji ya kibari Rwanda, alipewa hukumu kali zaidi kutumikia kifungo cha miaka 25 jela, Septemba 20, 2021. (Assumpta Kaboyi / VOA)
Kigali : Rusesabagina afungwa miaka 25, akaidi kufika mahakamani
Wakati Paul Rusesabagina hakufika mahakamani mjini Kigali wakati wakuhukumiwa kwa makosa ya ugaidi, wenzake 20 wanaotuhumiwa walifika. Wanakabiliwa na mashtaka ikiwemo kuchoma moto, uhaini na mauaji.

1
FILE - Paul Rusesabagina akifikishwa mahakamani mjini Kigali, Rwanda, Sept. 25, 2020.

2
Paul Rusesabagina akihudhuria kesi yake mjini Kigali, Rwanda, Feb. 26, 2021.

3
Paul Rusesabagina akiwaangalia wenzake waliotuhumiwa kwa makosa ya kujihusisha na harakati za kisiasa za chama cha Mouvement Rwandais pour le changement démocratique (MRCD) kilos cha wapiganaji wa chama hocho.

4
Watuhumiwa wenzake Paul Rusesabagina wakifikishwa mahakamani Jumatatu Septemba 20, 2021, Kigali, Rwanda . (Assumpta Kaboyi / VOA) 6