Rusesabagina, mfanyakazi wa hoteli aliyepongezwa kwa kuokoa maisha ya mamia ya watu wakati wa mauaji ya kibari Rwanda, alipewa hukumu kali zaidi kutumikia kifungo cha miaka 25 jela, Septemba 20, 2021. (Assumpta Kaboyi / VOA)
Kigali : Rusesabagina afungwa miaka 25, akaidi kufika mahakamani
Wakati Paul Rusesabagina hakufika mahakamani mjini Kigali wakati wakuhukumiwa kwa makosa ya ugaidi, wenzake 20 wanaotuhumiwa walifika. Wanakabiliwa na mashtaka ikiwemo kuchoma moto, uhaini na mauaji.
5
Waliotuhumiwa pamoja na Paul Rusesabagina katika kesi ya ugaidi wakiwasili mahakamani Jumatatu Septemba 20, 2021, Kigali, Rwanda (Assumpta Kaboyi / VOA).
6
Watuhumiwa wenza wa Paul Rusesabagina wakiwa mahakamani Septemba 20, 2021. (Assumpta Kaboyi / VOA)
7
Waandishi wa habari wakifuatilia kesi ya Paul Rusesabagina na washtakiwa wenza iliyokuwa ikisikilizwa Jumatatu Septemba 20, 2021, Kigali, Rwanda (Assumpta Kaboyi / VOA)