Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Oktoba 12, 2024 Local time: 02:36

Dunia yaadhimisha siku ya wakimbizi kwa matukio mbalimbali ikiwemo kujenga matumaini


Dunia yaadhimisha siku ya wakimbizi kwa matukio mbalimbali ikiwemo kujenga matumaini
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Siku ya Wakimbizi Duniani yaadhimishwa kwa matukio mbalimbali ikiwemo kujenga matumaini na kuwarejesha watu hao katika hali yao ya kawaida.

Pia tutakuletea ripoti ya maelfu ya wakimbizi wametafuta maisha mapya mjini Nairobi, Kenya, wakikimbia migogoro ya kivita na kuvitiwa na uwezekano wa kazi bora.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG