Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Machi 28, 2023 Local time: 15:59

Wanaharakati DRC waliomba Baraza la UN kuchunguza mauaji ya waandamanaji


Wanaharakati DRC waliomba Baraza la UN kuchunguza mauaji ya waandamanaji
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Baadhi ya mashirika ya kiraia na yakutetea haki za binadamu DRC yameomba Baraza la Umoja wa Mataifa kuanzisha uchunguzi haraka kuhusu mauaji ya waandamanaji zaidi ya ishirini.

XS
SM
MD
LG