Rais wa Jamhuri ya Congo, Denis Sassou-Nguesso anasema maendeleo makubwa yamepatikana katika mkutano wa mwaka huu wa viongozi wa Marekani na Afrika uliofanyika Washington.
Akizungumza wakati wa mkutano wa viongozi wa Afrika na Marekani kiongozi wa Uganda amesema walijadili ghasia zinazoendelea katika kanda ya Maziwa Makuu na wanaamini wataweza kutanzua mzozo uliyopo.
Mkutano wa Viongozi wa Marekani na Afrika ulikuwa na mambo mengi ya kuridhisha na makubwa, malengo ya bilioni ya dola, pamoja na habari kwamba rais atalitembela bara hilo.
Viongozi wa Afrika na Marekani wanaokutana mjini Washington, DC wamezungumzia utawala bora na ushirikiano katika mabadiliko ya hali ya hewa na pia wamejadili usalama wa chakula kukabili upungufu wa chakula katika bara hilo la Afrika.
Rais wa Comoro anaeleza kuwa matarajio ya nchi yake kutokana na Mkutano wa viongozi wa Marekani na Afrika yanalingana na yale ya nchi nyingine za Afrika.
Mkutano wa Marekani na Afrika ulianza Jumanne katika mji mkuu wa Marekani kukiwa na ajenda mbali mbali.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Felix Tshisekedi anasema atakatisha ziara yake nchini Marekani, ambako anahudhuria mkutano wa viongozi wa Marekani na Afrika.
Ujumbe wa mwananchi wa Afrika Mashariki kwa Rais Biden na Marekani akimsihi kusaidia maono ya vijana katika kudumisha amani katika bara la Afrika.
Mahojiano maalum na baadhi ya wananchi kuhusu Mkutano wa viongozi wa Marekani na Afrika. Ujumbe wa wananchi wa Afrika Mashariki kwa Rais Biden na Marekani kwa ujumla.
Waafrika wanahesabiwa kwa ukuaji wa haraka idadi ya Wahamiaji nchini Marekani.
Rais Joe Biden atakuwa mwenyeji wa dazeni ya viongozi wa Afrika hapa Washington wiki hii. Wakati ambapo White House itakuwa ikiangalia kupunguza pengo la uaminifu na Afrika –ambalo limekuwa kubwa baada ya miaka kadhaa ya mashaka kuhusu nia ya Marekani kwa bara hilo.
Pandisha zaidi