Rais wa Eritrea aliyeko katika uongozi kwa miaka mingi aliwasili Ethiopia, Jumamosi, Juali 14, ikiwa ni ziara yake ya kwanza katika miaka 22 na kupokelewa kwa shangwe kubwa baada ya kupatika ufumbuzi wa kidiplomasia kati ya mataifa hayo yaliyowahi kuwa mahasimu.
Rais wa Eritrea afanya ziara ya kihistoria Ethiopia
Rais wa Eritrea Isaias Afwerki, amepokelewa na Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Addis Ababa, Ethiopia, Jumamosi, July 15, 2018.
Rais wa Eritrea aliyeko katika uongozi kwa miaka mingi aliwasili Ethiopia, Jumamosi, Juali 14, ikiwa ni ziara yake ya kwanza katika miaka 22 na kupokelewa kwa shangwe kubwa baada ya kupatika ufumbuzi wa kidiplomasia kati ya mataifa hayo yaliyowahi kuwa mahasimu.
5
Watumbuizaji wa ngoma za asili wa Ethiopia wakicheza kumkaribisha Rais wa Eritrea Isaias Afwerki
6
Wananchi wa Ethiopia wakishangilia kuwasili kwa Rais wa Eritrea's Isaias Afwerki
7
Wapanda farasi wa Ethiopia wakishiriki katika kumkaribisha Rais wa Eritrea Isaias Afwerki
8
Bendera za Ethiopia and Eritrea zikipepea Addis Ababa