Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Aprili 14, 2024 Local time: 23:20

Vijimambo: Mwanamke ajiuza pamoja na nyumba yake


Nyuki mmoja alizua hali ya sintofahamu kwenye ndege iliyokuwa imejaa abiria.
Nyuki mmoja alizua hali ya sintofahamu kwenye ndege iliyokuwa imejaa abiria.

'Vijimambo' ni makala ya dakika tano yanayoangazia taarifa zisizo za kawaida, maajabu, sarakasi, vituko na vitimbi vya wiki....Habari ambazo zilizogonga vichwa vya habari katika maeneo mbali mbali ulimwenguni kote.

Mwanamke mmoja nchini Indonesia amepata mnunuzi wa nyumba yake pamoja naye mwenyewe baada ya kuweka tangazo mtandaoni kwamba yeyote ambaye angenunua nyumba yake, angepata bakshishi kwa sababu angekuwa ameinunua nyumba pamoja na mwenyewe.

Kwingineko, mwanasiasa mmoja nchini Kenya asema kuwa iwapo mshukiwa mkuu katika kashfa ya ulaji rushwa ya NYS hatashtakiwa, basi ni wakati mwafaka wa kuhalalisha ufisadi nchini humo.

Wakati huo huo, nyuki mmoja amezua hali ya sintofahamu kwenye ndege moja nchini Uingereza, na kumlazimu rubani kutua kwa dharura kwenye uwanja wa Southhampton. Kwa mengi zaidi, silkiliza vijimambo kwa kubonyeza hapa:

VIJIMAMBO with BMJ Muriithi
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:55 0:00

XS
SM
MD
LG