Uhuru Kenyatta amefika katika uwongozi wa Kenya baada ya kufanya kazi katika idara na wizara mbali mbali ya serikali ya Kenya kabla ya kuingia katika siasa mwanzoni mwa miaka 2000 .
Wasifu wa Uhuru Kenyatta katika picha

5
Uhuru Kenyatta katika kampeni ya uchaguzi kama mgombea kiti cha rais kwa niaba ya KANU Disemba 11 2011

6
Uhuru Kenyatta akiwapungua mkono wafuasi wake kwenye mkutano wa KANU ulomuidhinisha kuwa mgombea kiti wa chama 2002

7
Uhuru Kenyatta ahudhuria kikao cha kesi ya awali kwenye mahakama ya ICC The Hague

8
waziri wa fedha wa Kenya Uhuru Kenyatta akimpokea Mkurugenzi mtendaji wa IMF Dominique Strauss-Kahn (kulia) Machi 6 2010