Uhuru Kenyatta amefika katika uwongozi wa Kenya baada ya kufanya kazi katika idara na wizara mbali mbali ya serikali ya Kenya kabla ya kuingia katika siasa mwanzoni mwa miaka 2000 .
Wasifu wa Uhuru Kenyatta katika picha
9
Naibu waziri mkuu wa Kenya Uhuru Kenyata akiwa pamoja na William Ruto walipotangaza muungano wao wa Jubilee Disemba 2012
10
Uhuru Kenyatta na mgombea mwenza wake William Ruto wakiwa Mombasa wakati wa kampeni za uchaguzi Februari 2013
11
Naibu waziri mkuu wa Kenya Uhuru Kenyata, (kati) awasili kwa kampeni mjini Suswa, Rift Valley.
12
Mgombea kiti cha rais Kenya, Uhuru Kenyatta akipiga kura yake gatundu mji alikozaliwa akiwa pamoja na mkewe marchi 4 2013