Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Machi 23, 2023 Local time: 07:57

Wanajeshi wa Ukraine wakataa kujisalimisha kwa Russia huko Mariupol


Wanajeshi wa Ukraine wakataa kujisalimisha kwa Russia huko Mariupol
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Maafisa wa Ukraine wanasema majeshi yao katika mji uliozingirwa wa Mariupol hawatatekeleza madai ya Russia kuwataka wajisalimishe.

Shambulizi la kombora limefanyika nchini Somalia katika viwanja vya Bunge siku ya Jumatatu wakati wa kikao cha pamoja cha mabunge mapya.

Jeshi la Afrika Kusini lapeleka wanajeshi zaidi ya 10,000 kusaidia katika operesheni za uokozi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG