Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Machi 28, 2024 Local time: 15:44

Wakazi wengi wa Marekani wakabiliwa na theluji na baridi kal


Wakazi wengi wa Marekani wakabiliwa na theluji na baridi kal
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Hali ya theluji na baridi kali inatishia maisha ya wakazi wengi wa Marekani huku kukiwa na tahadhari za hali ya hewa zimetolewa.

Wakimbizi wengi kwenye mpaka wa kaskazini ya Mexico wamevulia baridi kali katika kipindi cha Krismas. Sehemu kadhaa zina. Kuna vifo 34 vilivyosababishwa na dharuba hiyo. Wakati umeme katika maeneo kadhaa umekatika.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG