Vita vya uvamizi wa Russia nchini Ukraine vyaongeza bei ya ngano duniani
Wakiwa wazalishaji wakuu wa ngano duniani vita vya uvamizi wa Russia nchini Ukraine vimepelekea kuongezeka kwa bei ya Ngano duniani hali ambayo imeleta wasiwasi duniani kote. Endelea kusikiliza makala ya Washington Bureau inaeleza ongezeko la bei hizo zinamaanisha nini kwa wakulima wa Marekani...
Matukio
-
Januari 15, 2023
Marekani, Mexico na Canada kuimiarisha ushirikiano wa biashara
-
Januari 10, 2023
Biden atimiza ahadi ya ujenzi wa miundombinu Marekani
-
Desemba 26, 2022
Zelenskyy aeleza hana nia ya kufanya mashauriano na Russia