Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Agosti 17, 2022 Local time: 13:56

Washington Bureau ni habari zinazorushwa kwa dakika tano kila wiki siku ya ijumaa , Programu ya TV inayotengenezwa na VOA Swahili na kurushwa na Televisheni ya Star TV nchini Tanzania katika kipindi cha “ tuongee asubuhi”. Washington Bureau inatayarisha habari na uchambuzi na matukio ya kimataifa kutoka Washington , Dc na Marekani kwa ujumla. Kipindi hicho cha TV kinatangazwa kila siku ya Ijumaa asubuhi kati ya saa 12 asubuhi na saa 1 asubuhi katika Star TV.

XS
SM
MD
LG