Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Oktoba 26, 2020 Local time: 22:38

Viongozi wa nchi 7 tajiri duniani wawasili Ufaransa


Viongozi wa nchi 7 tajiri duniani wawasili Ufaransa
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:09 0:00

Mkutano wa nchi tajiri zaidi duniani G7 utafanyika Jumamosi na utajadili masuala mbalimbali ikiwemo biashara na uchumi.

Kikundi cha G7 kinajumuisha Marekani, Ufaransa, Uingereza, Japan, Ujerumani, Italia na Canada na Umoja wa Ulaya pia huhudhuria mkutano. Mwaka huu, Macron pia amemkaribisha kiongozi wa Australia, Burkina Faso, Chile, Misri, Senegal, Rwanda na Afrika Kusini kuongeza wigo la mjadala juu ya kukosekana usawa duniani.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG