Mapigano Sudan Kusini yameenea zaidi ya mji mkuu Juba, ambako yalianza Jumapili katika kile serikali ilichosema ni jaribio la mapinduzi. Mataifa jirani ya IGAD yanafanya juhudi za usuluhishi wa amani.
Ghasia za kisiasa Sudan Kusini
5
Mtoto aliyekimbia kutoka nyumbani anabeba godoro lake akiingia kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UNMIS) mjini Juba Dec 19, 2013.
6
Watoa huduma za afya kutoka Umoja wa Mataifa huko Sudan Kusini wakisaidia raia katika hospitali moja mjini Juba, Dec. 18 , 2013. (UNMISS)
7
Raia wakiwasili katika eneo la ofisi za UNMISS karibu na uwanja wa ndege wa Juba kuomba hifadhi, Dec. 17, 2013. (UNMISS)
8
Raia wakipumzika nje ya eneo la ofisi za Umoja wa Mataifa nje ya Juba, Disemba 17, 2013.