Mapigano Sudan Kusini yameenea zaidi ya mji mkuu Juba, ambako yalianza Jumapili katika kile serikali ilichosema ni jaribio la mapinduzi. Mataifa jirani ya IGAD yanafanya juhudi za usuluhishi wa amani.
Ghasia za kisiasa Sudan Kusini

1
Wakenya wanawasili nyumbani baada ya kusafirishwa kutoka Juba Sudan Kusini na ndege ya jeshi la anga la Kenya kwenye uwanja wa ndege wa Wilson Airport Nairobi, Kenya Sunday, Dec. 22, 2013.

2
wanajeshi wa SPLA wakipiga doria wakitumia lori la kijeshi mjini Juba December 21, 2013. Huku wapatanishi wa nchi za Kiafrika wakijaribu kukutana na wapinzani wa Rais salva Kiir wa Sudan Kusini siku ya Jumamosi. REUTERS/Stringer

3
Watu walokusanyika katika kambi y muda ndani ya uwanja wa makao makuu ya Umoja wa Mataifa huko Sudan Kusini (UNMISS) mjini Juba Dec. 22, 2013.

4
Raia wanaokimbia ghasia wanapata hifadhi ndani ya uwanja wa makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini Bor, jimbo la Jonglei Sudan Kuisni, Dec. 18, 2013.