Uchaguzi Mkuu Angola August 24 2022: Vuguvugu la uchaguzi linaendelea
Uchaguzi Mkuu umepangwa kufanyika Angola August 24, 2022 kumchagua Rais na Wabunge President. Vuguvugu la uchaguzi linaendelea nchini humo huku kampeni zikifikia ukingoni. Rais aliyeko madarakani João Lourenço anagombea awamu yake ya pili.

1
Faustino Mumbica, Katibu Mkuu Taifa wa masuala ya uchaguzi wa UNITA, (kushoto) na Nelito Equiqui, mbunge, (kulia), Luanda Angola 19 Agosto 2022

2
Rui Falcao, msemaji wa chama cha MPLA, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi wa mwisho, Camama, Luanda, Angola. August 20, 2022

3
João Lourenço, mgombea wa chama cha MPLA, kinachotafuta uongozi wa awamu ya pili nchini Angola, kimemaliza kampeni za uchaguzi katika uwanja mkubwa wa uchaguzi, Luanda, August 20, 2022

4
Benedito Daniel, kiongozi wa PRS - chama cha Social Renewal Party cha Angola na mgombea wa urais katika uchaguzi wa August 24, 2022, Luanda, Angola.