Msemaji wa Serikali ya Tanzania amesema Gerson Msigwa Tanzania imepiga hatua katika kukua kwa uhuru wa vyombo vya habari akiongeza kuwa inaendelea kukutana na wadau kuboresha hali hiyo.
Tanzania yasema inajitahidi kuboresha uhuru wa vyombo vya habari