Maelfu ya Wakurdi wa Syria wameanza kuvuka mpaka kuingia Uturuki wakiwakimbia wanamgambo wa Islamic State wanaosonga mbele kufikia vijiji vyao. Uturuki ilifungua tena mipaka yake na Syria Sept. 19 wakihofia huwenda waimbizi zaidi ya lake moja wataimbia mashambulizi ya IS.
Mashambulizi ya Islamic State yawasababisha maelfu ya Wakurdi kukimbia Syria

1
Wakimbizi wa Kikurdi kutoka Syria wabeba mali waloweza kukimbia nazo wakati wapiganaji wa IS wakikaribia kijiji chao.

2
Wanajeshi wa Uturuki wakishika doria wakati wakimbizi wa Kikurdi kutoka Syria wanasubiri kwenye uzio wa mpakani wakisubiri kuruhusiwa kuingia katika kijiji cha kusini magahribi cha Suruc katika jimbo la Sanliufa, Uturuki siku ya Alhamisi Sept 18, 2014.

3
Turkish soldiers stand guard as Syrian Kurds cross the border fence into Turkey near the southeastern town of Suruc in Sanliurfa province, Sept. 19, 2014.

4