Maelfu ya Wakurdi wa Syria wameanza kuvuka mpaka kuingia Uturuki wakiwakimbia wanamgambo wa Islamic State wanaosonga mbele kufikia vijiji vyao. Uturuki ilifungua tena mipaka yake na Syria Sept. 19 wakihofia huwenda waimbizi zaidi ya lake moja wataimbia mashambulizi ya IS.
Mashambulizi ya Islamic State yawasababisha maelfu ya Wakurdi kukimbia Syria
5
Mwanajeshi wa Uturuki wakishika doria wakati wakimbizi wa Kikurdi kutoka Syria wanasubiri kwenye uzio wa mpakani wakisubiri kuruhusiwa kuingia katika kijiji cha kusini magahribi cha Suruc katika jimbo la Sanliufa, Uturuki siku ya Alhamisi Sept 18, 2014
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017