Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Aprili 13, 2024 Local time: 06:19

Wafuasi wa Rais Kenyatta washerekea uamuzi wa Mahakama ya Juu

Mahakama ya Juu yaamua Rais Kenyatta ni mshindi halali

Vigelegele na vifijo vilirindima katika miji ya Nairobi na Mombasa baada ya Mahakama ya Juu kutoa uamuzi kwamba Rais Uhuru Kenyatta ni mshindi halali wa marudio ya uchaguzi 2017 nchini Kenya. wakati huo huo kumekuwepo na malalamiko madogo ya kupinga uamuzi huo huko magharibi ya Kenya.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG