Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Desemba 10, 2023 Local time: 03:45

Sherehe za kumuenzi Seneta McCain ndani ya jengo la Bunge la Marekani

Mwili wa Seneta John McCain ukienziwa ndani ya Jengo la Bunge la Marekani.

Sherehe hizo zilishuhudia viongozi mbalimbali na wananchi waliojitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Seneta McCain, mjini Washington, Marekani, Agosti 31, 2018.

Seneta McCain ambaye aliwahi kushikiliwa nchini Vietnam kama mfungwa wa kivita na baadae maishani kugombea nafasi ya urais wa Marekani mara mbili amepewa heshima ya mwili wake kuwekwa ndani ya jengo la Bunge la Marekani kuanzia Ijumaa, siku mbili kabla ya kuzikwa.

Seneta huyo wa Arizona alipigana na maradhi ya saratani lakini hatimaye alifariki dunia. Lakini kiongozi huyu ambaye alifariki akiwa na umri wa miaka 81 atakumbukwa kwa uwezo wake wakufikia kambi ya upinzani.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG