"kwa jumla, tuna habari za vifo vya watu 207 kutoka hospitali zote. Kwa mujibu wa habari hiyo mpaka sasa tuna watu 450 waliojeruhiwa na wamelazwa hospitali,” alisema msemaji wa polisi Ruwan Gunasekera.
Shambulizi la Sri Lanka : Athari zake kwa raia na mali za nchi hiyo
Taarifa zinaeleza maeneo yaliyoshambuliwa mjini Colombo ni makanisa matatu na hoteli ikiwemo Shangri-La, Kingsbury, Cinnamon Grand na Tropical Inn karibu na makazi ya wanyama pori. Waziri Mkuu Ranil Wickremesinghe ameitisha mkutano wa baraza la usalama Jumapili.

1
Watu waliojeruhiwa wakiondolewa katika eneo la shambulizi nchini Sri Lanka

2
Jeshi la Sri Lankan likifanya ulinzi katika eneo la Mtakatifu Anthony, katika Kanisa la Kochchikade baada ya milipuko kutokea Colombo, Sri Lanka Aprili 21, 2019.

3
Jeshi la Sri Lankan likifanya ulinzi katika eneo la Mtakatifu Anthony, katika Kanisa la Kochchikade baada ya milipuko kutokea Colombo, Sri Lanka Aprili 21, 2019.

4
Kiatu cha muhanga wa milipuko mbele ya eneo la Mtakatifu Athony, Kanisa la Kochchikade Sri Lanka Aprili 21, 2019.