Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Februari 05, 2023 Local time: 05:27
VOA Direct Packages

Serikali ya Uganda yaeleza mfumuko wa bei unatokana na vita vya Ukraine


Serikali ya Uganda yaeleza mfumuko wa bei unatokana na vita vya Ukraine
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:34 0:00

Biashara nchini Uganda zimeathiriwa na kushuka kwa uzalishaji wa bidhaa kutokana na mlipuko wa COVID-19, huku serikali ikisema vita vya uvamizi wa Russia huko Ukraine vimeleta mfumuko wa bei za bidhaa muhimu ikiwemo petroli na dizeli.

Makundi

XS
SM
MD
LG