Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 01, 2023 Local time: 06:25
VOA Direct Packages

Ruto asema akishinda uchaguzi wakimbizi Kenya watahamishwa kwa hiari


Ruto asema akishinda uchaguzi wakimbizi Kenya watahamishwa kwa hiari
please wait

No media source currently available

0:00 0:06:14 0:00

Naibu wa Rais wa Kenya, William Ruto, ambaye pia ni mgombea urais nchini humo, amesema kuwa iwapo atachaguliwa rais, atahakikisha kwamba mchakato wa kuwahamisha wakimbizi kutoka kambi za Kakuma na Dadaab, utafanyika kwa hiari.

Mchakato huo ameeleza kuwa utafuata makubaliano kati ya Kenya, Somalia na shirika la wakimbizi la Umoja wa Matiafa, UNHCR. Alizungumza na mwenzangu BMJ Muriithi Katika mahojiano maalum katika studio za idhaa hii ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika, hapa mjini Washington...

Makundi

XS
SM
MD
LG