Rais wa Kenya Ruto asisitiza umuhimu wa kuimarisha mawasiliano
Rais wa Jamhuri ya Kenya Dkt. William Samoei Ruto pamoja na ujumbe wake ulikuwa Ikulu Jijini Dar es Salaam na umefanya mazungumzo na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na ujumbe wake kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Baada ya mazungumzo hayo Rais Ruto alikuwa na haya yakusema...
Matukio
-
Februari 06, 2023
Marekani: Rais Biden atatoa Hotuba ya Hali ya Kitaifa 2023
-
Januari 07, 2023
DRC: Waasi wa M23 wamekubali kuondoka Rumangabo