Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 06, 2022 Local time: 00:18

Qatar na Equador kufungua michuano ya Kombe la Dunia Novemba 2022


Qatar na Equador kufungua michuano ya Kombe la Dunia Novemba 2022
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:12 0:00

Michuano ya kombe la dunia inatarajia kuanza Novemba 20 mwenyeji Qatar atachuana na Equador katika uwanja wa Al-Bait, mjini Al khour na fainali itapigwa Decemba 18 katika uwanja wa Lusail mjini Doha. Timu 22 zitachuana katika kombe ambalo linashikiliwa na Ufaransa iliotwaa mwaka 2018.

Makundi

XS
SM
MD
LG