Maelfu na maelfu ya waandamanaji wanaoipinga serikali ya Thailand wanaandamana hadi jengo kuu la serikali mjini Bankok, kumtaka waziri mkuu ajiuzulu.
Maandamano ya kuipinga serikali Bankok

1
Waandamanaji wanaoipinga serikali wakiandamana hadi makao makuu ya serikali mjini Bankok, Nov. 27, 2013.

2
Suthep Thaugsuban, waziri mkuu wa zamani akiongoza maandamano kwa siku ya nne mfululizo akiwapungia mkono maelfu ya waandamanaji wanaoipinga serikali mjini Bangkok, Nov. 27, 2013.

3
Waungaji mkono wakiwapungia mkono waandamanaji wanaoipinga serikali mjini Bankok, Nov. 27, 2013.

4
wapinzani wa serikali wakipeperusha bendera na kupiga firimbi wakati kiongozi moja wa upinzani kuwahutubia mbele ya wizara ya fedha katika kuipinga serikali Bangkok, Nov. 26, 2013.