Maelfu na maelfu ya waandamanaji wanaoipinga serikali ya Thailand wanaandamana hadi jengo kuu la serikali mjini Bankok, kumtaka waziri mkuu ajiuzulu.
Maandamano ya kuipinga serikali Bankok
5
Mtawa wa ki-Budha akipiga firimbi wakati wa mkutano wa hadhara nje wa wizara ya mambo ya ndani mjini Bankok Bangkok, Nov. 26, 2013.
6
Polisi wa kupambana na ghasia wakiwa tayari nyuma ya vizuizi wakati wa mkutano wa upinzani mjini Bangkok, Nov. 26, 2013.
7
Waandamanaji wakielekea hadi wizara ya fedha mjini Bankok kuipinga serikali, Nov. 25, 2013.
8
Waandamanaji wanaoipinga serikali wanapambana na polisi katika kizuizi karibu na makao makuu ya serikali Bangkok, Nov. 25, 2013.