Maelfu ya watu walijitokeza mjini Washington siku ya Jumamosi Februari 4, 2017, imbele ya White House ili kuonesha uungaji mkono wao kwa wakimbizi na wahamiaji.
Maandamano ya kuwaunga mkono wakimbizi na wahamiaji mjini Washington

1
Licha ya baridi kali familia na watoto wao walishiriki katika maandamano ya kuwaunga mkono wakimbizi na wahamiaji Feb. 4, 2017, mjini Washington, D.C. (S. Islam/VOA)

2
Waandamanaji waliandamana kutoka jengo la Mahakama Kuu hadi White House siku ya Jumamosi kuwaunga mkono wahamiaji na wakimbizi. Feb. 4, 2017. (S. Islam/VOA)

3
Walemavu ni miongoni mwa waloandamana kuunga mkono waislamu, wahamiaji na wakimbizi mjini Washington. (A. Azhar/VOA)

4
Watoto wengi walijitokeza pia kupinga ubaguzi wa dini na wahamiaji. (A. Azhar/VOA)