Maelfu ya watu walijitokeza mjini Washington siku ya Jumamosi Februari 4, 2017, imbele ya White House ili kuonesha uungaji mkono wao kwa wakimbizi na wahamiaji.
Maandamano ya kuwaunga mkono wakimbizi na wahamiaji mjini Washington
5
Waandamanaji wakikusanyika mbele ya Mahakama Kuu ya Marekani kabla ya kuanza maandamano kuelekea Ikulu. (A. Azhar/VOA)
6
Watoto na familia zao wakibeba mabango kuunga mkono wahamiaji, waislamu na wakimbizi mjini washington, Feb. 4, 2017, in Washington, D.C. (A. Azhar/VOA)
7

8