Mamilioni ya watu walianza kumiminika katika vituo mbalimbali kote huko Myanmar katika uchaguzi wa kwanza huru .takriban watu milioni 30 wanatarajiwa kupiga kura zao .
myanmar holds historic election

1
wafuasi wa chama cha National League for Democracy party wakifurahia wakati wa kusubiri matokeo ya uchaguzi nje ya makao makuu ya NLD huko Yangon, Myanmar, Nov. 8, 2015.

2
Afisa kutoka tume ya uchaguzi ya Myanmar akionyesha kura zilizopigwa katika uchaguzi mkuu Yangon, Nov. 8, 2015.

3
Waislamu wakiwa wamesimama katika mstari kupiga kura zao nje ya kituo cha kupigia kura huko Mandalay, Nov. 8, 2015.

4
Rais wa Myanmar Thein Sein akipiga kura huko Naypyitaw, Nov. 8, 2015.