Mamilioni ya watu walianza kumiminika katika vituo mbalimbali kote huko Myanmar katika uchaguzi wa kwanza huru .takriban watu milioni 30 wanatarajiwa kupiga kura zao .
myanmar holds historic election
5
Sein Kyi, mwenye umri wa miaka 87, na familia yake wakionyesha vidole vyao vyenye wino baada ya kupiga kura Yangon, Nov. 8, 2015.
6
kiongozi wa chana cha National League for Democracy (NLD) party Aung San Suu Kyi akiwasili katika kupiga kura wakati wa uchaguzi mkuu.
7
Wafuatiliaji wa uchaguzi kutoka jumuiya ya ulaya wakiwa katika kituo cha kupigia kura huko Yangon Yangon, Nov. 8, 2015.
8
Mwanamke akipiga kura katika kituo wakati wa uchaguzi mkuu huko Yangon, Nov. 8, 2015.